J'pili iliyopita ndani ya New Maisha Club ulikuwa ni usiku wa Chidi Benz Show,na moja ya tukio lililowashangaza kama si kuwastaajabisha watu wengi usiku huo ni hili la Shabiki mmoja kwenda mbele ya jukwaani kumtunza msanii huyo shilingi elufu moja ya kiTZ,lakini cha kushangaza Mnyama Tid aliikataa pesa hiyo kwa kuona kama kadharauliwa kutunzwa buku, na badala yake kutoa Dolla mia moja na kumtunza yeye shabiki huyo.... |
No comments:
Post a Comment