gsa entertainment

Friday, 12 October 2012

PREZZO AANZA KAZI RASMI KAMA BALOZI WA ONE CAMPAIGN


Kama tunavyojua baada ya kuisha kwa shindano la Big Brother Africa Stargame la mwaka huu na hatimaye Rapper toka nchini Kenya, Jackson Makini alias CMB Prezzo kuchaguliwa na kuwa Balozi wa  ONE campaign ambayo hujiusisha na maswala ya kutokomeza njaa nchini Africa.
Prezzo ameanza kazi rasmi kwa kuanza kudesign T-shirt ambazo zitakuwa na Slogan inayoitwa ‘Swagger Farmer‘ ambayo itakuwa ikitambulika Duniani kote, hii ikiwa ni mwanzo wa kuanza kutumikia kampuni hiyo na kuongeza mchongo kwa jamii katioka kuakikisha wanatokomeza swala la njaa barani Africa.
I want to work hand-in-hand with ONE, and I am more than willing to put my contributions out there. I already came up with that slogan, “Swagger Farmer,” and hopefully it will attract a lot of people and youngsters. The more farmers we have, the less chances we have for Africans to suffer from malnutrition and poverty,” alisemaPrezzo wakati yupo kwenye amkao makuu ya Office ya One Campaign huko Marekani.
Latest Infonz ni kuwa Rapper huyu tayari ameshaaanza kuitumia kazi yake as ambassadors wa ONE campaign na ushauidi ni video hii hapa chini akifreestlye kwa ajili ya One Campaing baada ya kumaliza mkutano na wadau wa kampuni hiyo na Waandishi wa Habari.

No comments:

Post a Comment