gsa entertainment
Wednesday, 10 October 2012
MUONEKANO WA FID Q NA JCB WIKI HII KATIKA KIPINDI CHA FID STYLE FRIDAY
Najua nikimzungumzia mtu mzima Fareed Kubanda a.k.a Fid Q basi utakuwa unamfahamu kama ni moja kati ya wasanii ambao wanatokea pande za Rock City Mwanza Mwanza pia ni msanii mwenye mashairi mazuri ya hip hop na ndiyo maana ana hits na ngoma kali kibao hapa Tzee na zinakubali ile mbaya.Tunafahamu kwamba Fid Q ana kipindi chake ambacho kinafahamika kwa jina la Fid freestyle huwa kinarushwa siku ya ijumaa sasa wiki hii katika kipindi chake atakuwa na mtu mzima JCB kama unavyoona hapo walikuwa waki record kipindi hicho cha Fid freestyle.
Labels:
GARISSA FAAQ MAAQ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment