BAADA ya picha za msanii za Rayuu kusambaa mitandaoni na kushika kasi kwenye macho ya watu na hadi kufikia hatua ya msanii Christine John ‘Sintah’, kudai kuwa msanii huyu anatafuta umaarufu kunuka, naye Rayuu ameamua kumjibu kwa kuhoji kuwa kati na yeye na Sintah nani malaya, na haoni sababu ya kumtukukana kwa sababu ya picha zake zinaonesha mgongo na si kitu kingine.
Kauli chafu aliyoitumia Sintah kwa Rayuu ni hii aliyosema kuwa msanii huyo anatafuta ‘umaarufu kunuka’, huku kauli nyingine alizotumia kuponda picha za msanii huyo zikiwa katika utata kiasi kwamba kuna ishu kubwa ambayo inataka kutokea kati ya wasanii hawa wawili.
Hata hivyo Mwandishi alizungumza na Rayuu, ili aeleze ni kitu gani kinachosababaisha hadi Sintah kutoa kauli kama hizo dhidi yake, ambapo alidai kuwa suali la picha hizo imekuwa gumzo kwani haitaji bifu na Sintah, kwa sababu hakuna siku hata moja ambayo amewahi kuzungumza nae katika maisha yake.
Rayuu alisema kuwa hajawahi kufanya kitu chochote kibaya kwa Sintah, lakini anashangaa kuona yeye ndiyo amekuja kasi kumtukutana kupitia blog yake.
Hata hivyo Rayuu alitumia ukurasa wake wa facebook ili kumtaka Sintah asiwe na kimbembele kwa kufuatilia vitu ambavyo havijui
No comments:
Post a Comment