gsa entertainment

Tuesday 9 October 2012

TID ATOA KALI USIKU WA CHIDI BENZ SHOW.....

J'pili iliyopita ndani ya New Maisha Club ulikuwa ni usiku wa Chidi Benz Show,na moja ya tukio
lililowashangaza kama si kuwastaajabisha watu wengi usiku huo ni hili la Shabiki mmoja kwenda
mbele ya jukwaani kumtunza msanii huyo shilingi elufu moja ya kiTZ,lakini cha kushangaza Mnyama
Tid aliikataa pesa hiyo kwa kuona kama kadharauliwa kutunzwa buku, na badala yake kutoa
Dolla mia moja na kumtunza yeye shabiki huyo....

No comments:

Post a Comment