gsa entertainment

Sunday 14 October 2012

NU VIDEO:NIKKI WA PILI FT G NAKO & JOH MAKINI "PEA"



Kutoka A town city tunakutana na Weusi ni moja kati ya makundi ya Hip Hop yanayotikisa huu muziki wa hapaBongo Land hata nje ya Bongo Land.Nafahamu kwamba kila mmoja alikuwa anajiuliza kuhusiana na video yao yaPEA sasa basi video imetoka na ni bonge la video kweli weusi wametisha mbayaaaa ebu fanya kama una click hapo chini halafu uone jinsi wakali hawa wana haki ya kupewa heshimu katika muziki huu wa Hip Hop.

              

No comments:

Post a Comment